kwa wale ambao wamekuwa wakiangaika kutafuta mishono kwa ajili ya vitenge aina ya makenze sasa limepata ufumbuzi kwani Dfashion imewaletea mishono mizuri ya magauni na mashart ya vitenge hivyo, kazi ni kwenu sasa kutathimini upi umeupenda
Monday, November 17, 2014
mishono mbalimbali ya vitenge
haya jamani kwa mara nyingine tunakuja na mishono mbalimbali ya vitenge, hakika utaipenda kwani ni mizuri na ina vutia so usipitwe na hii fasheni
i
Tuesday, September 2, 2014
mazoezi kwa ajili ya kupata hipsi
kuna mazoezi mbalimbali yanayokuza na kuyapa makalio na nyonga muonekano mzuri, zoezi mojawapo niKuliko kutumia kemikali katika kujipata shepu nzuri ni bora ukafanya mazoezi ambayo baadae ya kutakupatia shepu nzuri unayoiitaji
’’squarts’’ yaani kuchuchumaa kwa kiswahili rahisi. Kufanya squarts, waweza tumia uzito au waweza fanya squarts bila kutumia uzito wowote. Unachukua uzito unaoweza kuhimili, na kuuweka mabegani (kumbuka uzito huu unatakiwa uwe umewekwa pande zote kwa uwiano sawa ukiunganishwa na bomba ambalo ndiyo unaliweka mabegani). Simama wima miguu yako ikiwa imetengana kiasi, halafu chuchumaa taratibu, na kunyanyuka taratibu. Rudia mzunguko huu mara 6 mpaka 8, kwa kila seti, na ni vema kufanya seti tatu mpaka tano. Kumbuka waweza fanya squarts bila kuwa na uzito wowote, cha muhimu ni kuikutanisha mikono yako pamoja nyuma ya kichwa wakati wote unapokuwa unachuchumaa na kusimama. Ni muhimu kufahamu kwamba, kama unataka sehemu zako za makalio kuongezeka ukubwa, basi ni vema kutumia uzito.
kwa leo naomba niishie na zoezi moja, zoezi jingine msikose kutembelea blog hii kesho ambapo mtaweza kujione mazoezi mengine mbalimbali
Thursday, August 21, 2014
Friday, August 15, 2014
Tuesday, August 12, 2014
mibano ya nywele
kwa mdada yeyote mwenye nywele ndefu ama ameshonea nywele bandia (weaving ) na umekosa mbano wa nywele zako, Dfashion inawapa mibano mbalimbali kwa ajili ya nywele zenu. kazi ni kwenu kuchagua mbano
utakaoupenda
Monday, August 11, 2014
Mavazi ya asili barani Africa
katika bara la Africa kuna nchi nyingi, na ndani ya nchi hizo kuna tamaduni zinazotofautisha nchi hizo ili kuzifanya kuwa za kipekee. Katika swala zima la mavazi, kila nchi ina vazi lao la asili ambapo huwafanya kuonekana wa kipekee wawapo nje ya nchi yao.
vazi la nchini Ghana
vazi la nchini Nigeria
vazi la South Africa
vazi la Zambia
hatuna budi kuziehimu, kuzitunza, na kuziendeleza tamaduni za nchi, kwani kwa kufanya hivyo hufanya nchi husika kuonekana ndani na nje ya nchi