Thursday, August 21, 2014

Friday, August 15, 2014

maids dress

kwa msichana yeyote ambaye anatafuta mshono kwa ajili ya mates, Dfashiontz imewaletea mishono mbalimbali kwa ajili ya mates 




Tuesday, August 12, 2014

mibano ya nywele

kwa mdada yeyote mwenye nywele ndefu ama ameshonea nywele bandia (weaving ) na umekosa mbano wa nywele zako, Dfashion inawapa mibano mbalimbali kwa ajili ya nywele zenu. kazi ni kwenu kuchagua mbano 
utakaoupenda 
  





Monday, August 11, 2014

Mavazi ya asili barani Africa

katika bara la Africa kuna nchi nyingi, na ndani ya nchi hizo kuna tamaduni zinazotofautisha nchi  hizo ili  kuzifanya  kuwa za kipekee. Katika swala zima la mavazi, kila nchi ina vazi lao la asili ambapo huwafanya kuonekana wa kipekee wawapo nje ya nchi yao.
vazi la nchini Ghana 


vazi la nchini Nigeria 


vazi la South Africa



 vazi la Zambia

hatuna budi kuziehimu, kuzitunza, na kuziendeleza  tamaduni za nchi, kwani kwa kufanya hivyo hufanya nchi husika  kuonekana ndani na nje ya nchi 

Sunday, August 10, 2014

warembo

Nani ambaye alikuvutia zaidi kati ya hawa warimbwende wa Tanzania


jackline ntuyabaliwe Miss Tanzania 2000



 
Happyness magese Miss Tanzania 2001


Faraja Kotta Miss Tanzania 2004

Thursday, August 7, 2014

nani mkali kwenye mavazi

Mda wenu sasa wa kuangalia , nani mkali katika suala  zima la mavazi kati ya wasanii wawili,  nick minaji na Rihhana , au nani amekuvutia zaidi kati yao
Rihhana akiwa katika pozi na mavazi yake  
                                           nick minaji akiwa katika pozi na mavazi yake

Monday, August 4, 2014

urembo

 je mwajua  kama , Ukisugua kitunguu katika ngozi yako au katika nguo zako ni namna nyingine ya kukabiliana na wadudu? mda ndo huu sasa changamkieni wadada

 chanzo urembo

Sunday, August 3, 2014

njia asili ya urembo

Haya warembo kuna njia nyingine ya asili ya kuufanya uso wako kuwa laini na wenye kuvutia, njia hiyo si nyingine bali ni matumiz ya papai 

jinsi ya kutumia 

Chukua papai likate kisha toa mbegu alafu  lisage kwa kutumia blenda
au pondaponda kwenye kibakuli kwa kutumia  mchi mdogo wa
kinu, kisha weka mchanganyiko huo kwenye chombo ulichokichagua .Vunja yai na koroga  kwa pamoja kuhakikisha kuwa mchanganyiko huo umechanganyika vizuri. Safisha uso wako kwa kutumia cleanser au maji ya vuguvugu na uondoe uchafu wote ulioganda usoni. Kisha paka mask kuzunguka uso wako, na unapopaka hakikisha kuwa, mchanganyiko huo haugusi macho yako. Osha uso wako baada ya dakika 15 kwa kutumia maji ya vuguvugu. Jifute kwa kutumia taulo safi .

Chanzo urembo

Saturday, August 2, 2014

Friday, August 1, 2014

vitenge ndo habari ya mujinii

Jionee mishono mbalimbali ya vitenge ya 2014 yenye mvuto na yenye kupendeza, huu ndio mwaka wa kubadilika achana na mambo ya mitumba na uhamie kwenye disaini mpya ya mavazi ya vitenge
  ,  


 enyi wadada wenzangu huu sio mda  wa kupoteza  changamkeni sasa acheni mambo ya kizamani bhanaaaa , vitenge ndo habari ya mujiniiiiiiiiiii