mazoezi kwa ajili ya kupata hipsi
Kuliko kutumia kemikali katika kujipata shepu nzuri ni bora ukafanya mazoezi ambayo baadae ya kutakupatia shepu nzuri unayoiitaji
kuna mazoezi mbalimbali yanayokuza na kuyapa makalio na nyonga muonekan…Read More
Mavazi ya asili barani Africa
katika bara la Africa kuna nchi nyingi, na ndani ya nchi hizo kuna tamaduni zinazotofautisha nchi hizo ili kuzifanya kuwa za kipekee. Katika swala zima la mavazi, kila nchi ina vazi lao la asili ambapo huwa…Read More
maids dress
kwa msichana yeyote ambaye anatafuta mshono kwa ajili ya mates, Dfashiontz imewaletea mishono mbalimbali kwa ajili ya mates
…Read More
mibano ya nywele
kwa mdada yeyote mwenye nywele ndefu ama ameshonea nywele bandia (weaving ) na umekosa mbano wa nywele zako, Dfashion inawapa mibano mbalimbali kwa ajili ya nywele zenu. kazi ni kwenu kuchagua mbano
utakaoupenda …Read More
0 comments:
Post a Comment