urembo
je mwajua kama , Ukisugua kitunguu katika ngozi yako au katika nguo zako ni namna nyingine ya kukabiliana na wadudu? mda ndo huu sasa changamkieni wadada
chanzo urembo…Read More
njia asili ya urembo
Haya warembo kuna njia nyingine ya asili ya kuufanya uso wako kuwa laini na wenye kuvutia, njia hiyo si nyingine bali ni matumiz ya papai
jinsi ya kutumia
Chukua papai likate kisha toa mbegu alafu lis…Read More
nani mkali kwenye mavazi
Mda wenu sasa wa kuangalia , nani mkali katika suala zima la mavazi kati ya wasanii wawili, nick minaji na Rihhana , au nani amekuvutia zaidi kati yao
Rihhana akiwa katika pozi na mavazi yake
…Read More
0 comments:
Post a Comment