Thursday, August 21, 2014
Friday, August 15, 2014
Tuesday, August 12, 2014
mibano ya nywele
kwa mdada yeyote mwenye nywele ndefu ama ameshonea nywele bandia (weaving ) na umekosa mbano wa nywele zako, Dfashion inawapa mibano mbalimbali kwa ajili ya nywele zenu. kazi ni kwenu kuchagua mbano
utakaoupenda
Monday, August 11, 2014
Mavazi ya asili barani Africa
katika bara la Africa kuna nchi nyingi, na ndani ya nchi hizo kuna tamaduni zinazotofautisha nchi hizo ili kuzifanya kuwa za kipekee. Katika swala zima la mavazi, kila nchi ina vazi lao la asili ambapo huwafanya kuonekana wa kipekee wawapo nje ya nchi yao.
vazi la nchini Ghana
vazi la nchini Nigeria
vazi la South Africa
vazi la Zambia
hatuna budi kuziehimu, kuzitunza, na kuziendeleza tamaduni za nchi, kwani kwa kufanya hivyo hufanya nchi husika kuonekana ndani na nje ya nchi
Sunday, August 10, 2014
Thursday, August 7, 2014
nani mkali kwenye mavazi
Monday, August 4, 2014
Sunday, August 3, 2014
njia asili ya urembo
Haya warembo kuna njia nyingine ya asili ya kuufanya uso wako kuwa laini na wenye kuvutia, njia hiyo si nyingine bali ni matumiz ya papai
jinsi ya kutumia
Chukua papai likate kisha toa mbegu alafu lisage kwa kutumia blenda
au pondaponda kwenye kibakuli kwa kutumia mchi mdogo wa
kinu, kisha weka mchanganyiko huo kwenye chombo ulichokichagua .Vunja yai na koroga kwa pamoja kuhakikisha kuwa mchanganyiko huo umechanganyika vizuri. Safisha uso wako kwa kutumia cleanser au maji ya vuguvugu na uondoe uchafu wote ulioganda usoni. Kisha paka mask kuzunguka uso wako, na unapopaka hakikisha kuwa, mchanganyiko huo haugusi macho yako. Osha uso wako baada ya dakika 15 kwa kutumia maji ya vuguvugu. Jifute kwa kutumia taulo safi .

Chanzo urembo
Saturday, August 2, 2014
Friday, August 1, 2014
vitenge ndo habari ya mujinii
Jionee mishono mbalimbali ya vitenge ya 2014 yenye mvuto na yenye kupendeza, huu ndio mwaka wa kubadilika achana na mambo ya mitumba na uhamie kwenye disaini mpya ya mavazi ya vitenge